Kampuni ya Acacia Yapinga Vikali Ripoti ya Kamati ya Pili Ilitolewa Leo


Kampuni ya ACACIA imepinga vikali ripoti ya Kamati ya 2 iliyochunguza masuala ya madini na kuwasilishwa kwa Rais Magufuli asubuhi ya leo.
.
Yadai haijakwepa kodi na wala haijavunja sheria za nchi. .
.
Imesema siku zote kampuni hiyo imekuwa ikifanya kazi zake kwa uadilifu na hesabu zake zinakaguliwa na kampuni za kimataifa zinazoheshimika.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad