Kimenukaa..Mashirika ya Haki za Binadamu Wasema Haki za Binadamu Zimevunjwa Sakata la Ripoti ya Mchanga wa Madini..!!!


Mashirika ya kutetea haki za kibinadam nchini Tanzania yamesema hadi sasa haki za binadamu zimeonekana kuvunjwa katika sakata la mchanga wa madini kutokana na usiri wa mikataba, haki za kimazingira na kimaendeleo.

Ufafanuzi huu unakuja siku moja baada ya rais Dokta John Magufuli kupokea ripoti ya pili kuhusu biashara ya madini ilioangazia mikataba, ulipwaji wa kodi pamoja na usafirishaji wake kwenda kwenye mataifa yaliyoendelea kiviwanda.

Chanzo: DW

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hivi hawa watu wanaofanya kazi huko. Wanaa IQ zote kabisa. kuibiwa koteee huku wao wanaona ni sawa tu. Wafrica ni wamelala ni wa kuibiwa tu. Ni masikini wakubwa wenye mali nyingi na 1Q ndogo. Wao hawashuliki watu wenye shida masikini Bali wanataka watu wanye mahela. WAKIMBIZI WANGAPI WANAOKAMATWA WAKITAKA KUPITIA TANZANIA KUTOKA.NJI JILANI KUELEKEA SOUTH. WANAWEKWA VIBAYA. LAKINI HUWASIKII HAWA WATU. WAKATI HIZO NDIO KAZI ZAO. MMMH Africa wonder shall never end

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad