KIMENUKA...Chadema Wamvaaa Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi Kisa Magufuli

Baraza la Wazee wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na Katibu mkuu wao Roderick Lutembeka wamelaani kauli ya Aliyoitoa Rais mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassani Mwinyi, kwamba Kama isingekuwa Katiba basi Rais Magufuli angeendelea kuwa Rais bila kikomo.

Hata hivyo Wametazamisha kuwa hata kwa nchi jirani husani Rwanda mambo yalianza hivo hivo kwakupata hamasa ya watu na baadae Kagame akagoma kutoka madarakani.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hahahahah! Duh! Limewachomaje??? Ni mtazamo tu msikonde 'masela', hata JPM mwenyewe alishasema hii kazi ni ngumu, anatamani huu ungekuwa ndio mwaka wake wa mwisho. Ingawa ni kweli kabisa anastahili kuendelea kuongoza nchi hii milele, amen.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad