Kipima Joto..Je, Rais Kuteua Wapinzani ni CCM Mpya au Ndio Kubadili Gia Angani..!!!?


Wakuu,kulingangana nateuzi zilizofatana hivi karibuni,Mh.Rais amekuwa akiteua watendaji wake kutoka upinzani ama kwa watu,ambao tunafahamu sio vindakindaki wa ccm.je ndo ccm mpya ama ni kubadili gia angani,kama wazee wa ufipa?

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Unajua yeye anawachagua watendaji wa kazi sio chama hata kama ukiwa mpinzani lakini ukiwa mchapakazi basi atakuteuwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huyu mama utendaji wake lini ulishawahi kuonekana? Halafu ndugu wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa ni makada? Swali mama nae kada?

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad