Kuna jamaa yangu amezua hoja nzito kwamba kamwe hawezi kuoa mwanamke anaetoka familia ya kimaskini maana wengi wao hawana shukrani maishani.. anakwambia angalau watoto wa kishua japokuwa wavivu kazi za ndani ndogo ndogo but wanajua kupenda na hata cheating ni ngumu sana.
But mwanamke anaetoka familia yenye dhiki wengi wao vigeu geu mwepesi sana kubadilika badilika.. na ametoa mifano hai mingi tu ya ndoa za tunaowafahamu..
Pia wengi wanaamini sana mambo ya Ushirikina kwenye mapenzi
Wadau hii mnaonaje?
Je kuna ukweli wowote hapo?
Inaweza kusound good lkn sina uhakika
ReplyDeleteNi kweli kabisa mambo ambayo yameongelewa hapa yote nimeyaona kwa majirani mtaani kwangu
ReplyDelete