Leo akiongea kutokea mahakamani na waandishi wa habari, Mwanasheria mkongwe na kada wa Chadema, Tundu lissu amesema kamwe hawezi kukubali kuteuliwa katika utawala wa kidikteta.
Amesema pia kwamba hawezi kuwa katika sehemu ambayo katiba ya nchi inakandamizwa na akiniteua ni mpaka abadilishe katiba ya nchi kwanza,
Ameongeza kwa kusema kwamba mghirwa ni CCM na sasa wanarudi walipotokea baada ya kuona mambo magumu kwao.
ACT wanateuliwa kwa sababu wao pia walikuwa ni CCM na sasa wanarejea walipokuwepo mwanzoni.
Mwenye akili zake hawezi kukuamini, kama ulidiriki kumuita Lowassa fisadi na sasa unanywea naye kikombe kimoja, acha ulaghai tushawajua hamna jipya.
ReplyDeleteWeweeeeh! Hivi kati yako Lisu na JPM nani hamtaki mwenzie?? Sio wewe Lisu uloandika barua kwa JPM kuomba uende ikulu ukajitambulishe kwake baada ya kupewa huo 'urahisi' wa TLS.....alikujibu?? Amekupotezea baada ya kukuona kwamba si'wakiwango chake.....kwa JPM haustahili hata kuwa mjumbe wa nyumba 10......wewe mtu wa kesi na mahakamani tu, hujamaliza hili-unaanzisha jingine....hahahaha una-chekesha-walo-nuna! ETI SIZITAKI-MBICHI-HIZI...........kwendraaaaa achana na JPM, si-wa-hadhi-yako!!! hovyooooooo
ReplyDelete