Mabasi ya Jiji la London Yaitangaza Zanzibar Kama Kituo Bora cha Utalii Duniani..!!!


Kwa siku mbili mfululizo sasa mabasi ya jiji la London yamekuwa yakibeba tangazo ya shirika la ndege la Uturuki ambalo linapigia debe kituo chake kipya cha safari ya ndege zake “Zanzibar*.

Hatua hiyo ya shirika la ndege la Uturuki kuitangaza Zanzibar limeiweka Zanzibar katika maeneo muhimu ya utalii “Tourist Destination”
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad