Madee na Dogo Janja wafunguka baada ya BASATA kuthibitisha hakuna tuzo za KTMA

Baada ya Baraza la Sanaa Tanzania ‘BASATA’ kusema mwaka huu pia hakutokuwa na tuzo za Music Tanzania maarufu kama Kilimanjaro Music Award (KTMA) staa wa muziki Madee amekosoa hatua hiyo.

Madee aliandika kwenye account yake ya Twitter akisema:
“Muziki wetu umepata kilema, hauna tuzo hauna album halafu kuna watu wanasema wanataka kuufikisha mbele, hahaha kwa njia gani labda” – Madee.

Baada ya tweet ya Madee naye Dogo Janja aliandika kwenye Instagram
”Tunataka mashindano yakimataifa bila kua na shindano la kitaifa hahaha tutapigwa nyingi daily” – Dogo Janja.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad