Mnyika: Spika Ameonyesha Upendeleo, na Kanuni Hazimpi Mamlaka ya Kunifungia Bunge..!!!


Mbunge John Mnyika amesema kitendo cha spika alichokifanya kimeonyesha upendeleo wa wazi , kwa kuwa wabunge wote wa upinzani wamesikia mbunge Lusinde akiwaita ni wezi na spika hakumuagiza aliyesema hivyo afaute kauli yake au athibitishe maneno yake na yeye alipoitwa mwizi akalipuuzia kabisa

Ila jambo kubwa kabisa kanuni za bunge hazimpi mamlaka spika kumfungia yeye kwa siku saba na wabunge wa upinzani ndio maana wamepinga hilo

Amesema pia wabunge wa upinzani watarudi jioni
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad