Napata Maumivu Makali Sana Wakati wa Kungonoka

Habari Wadau
Mimi ni msichana wa miaka 25 na nina mpenzi wangu ambaye tunapendana sana, tatizo ni kwamba ninapokutana naye kimwili raundi ya kwanza huwa naenjoy ila raundi zinazofuata huwa sijisikii tena na matokeo yake huwa nasikia maumivu makali sana sehemu za uke kiasi kwamba huwa sioni raha ya mapenzi bali karaha tupu!

Ki mpenzi wangu huwa anajitaidi sana kuniandaa lakini naona haisaidii! Kiasi kwamba naona kama namkwaza kwa kutokumtimizia haja zake vizuri

Je wanajamii hili ni tatizo la kwenda hospitali au nifanye nini?

Naomben ushauri wenu ndugu zangu sababu nimekuwa nikipata tabu hii kwa mda mrefu sasa.

By Jesca Moshi
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad