Profesa Kabudi: Kikwete na Mkapa Haifai Kuwataja Kwenye Kashfa Sababu Tunatunza Heshima Yao..!!!


Waziri wa Sheria Prof. Plamagamba Kabudi amesema haifai kuwataja marais Mkapa na Kikwete kwa kuwa heshima yao inatunzwa kwa kuwa wamekuwa wakuu wa nchi, wakuu wa serikali na maamiri wajeshi wakuu na heshima hiyo inafaa kutunzwa kikatiba, kisheria, kimaadili, kiutamaduni na kiutu na ndio maana hata ripoti haijawataja sehemu hata moja

Hivyo haifai kuacha kujadili mambo yaliyo mbele yetu na kuwajadili wakuu hawa wastaafu

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Halafu mnajidai kifua mbele"eti"bongo ni nchi ya demokrasia dizaini hiyo?Na hizo katiba zenu za kikomunisti za kulilinda kundi fulani la watu wachache waliosababisha/kusababisha mamilioni ya wananchi kufa kuteseka na tabu za sina mbalimbali ikiwemo magonjwa elimu umasikini njaa wakati wao kila siku wanakula kwa kutumia kisu na uma still mtu anaropoka na kusema wasishughulikiwe i doubt about huo u-professor wako

    ReplyDelete
  2. Ndo elimu yote inaishia hapa. Linda heshima, Heshima kwa ambaye hajiheshimu mwenyewe. Ambaye amesababisha Watanzania kukoseshwa Matibabu, Elimu, kufungwa, wengine kuuawa. Watoto wa maskini kuwa maskini zaidi. We vipi . Nawe umefaidika au ni mmoja wa kundi. Ebu fanyeni haki kwa mamilioni ya watu badala ya kumsitili mtu aliyejishibia na familia yake kwa mali za umma. Hivi huumii. We Mzalendo au ni mmoja wa CCM na CCM kwanza, bendera. Mbona ustaarabu hakuna. Uhuru, Udemokrasi. Nyinyi ndio mnaowafuga viongozi wote wanaotumia vyeo vyao vibaya.Inabidi muone aibu. Mnasoma, lakini hamuishi kama wasomi. Mnategemewa na Taifa na mnaliangusha Taifa. Huna maumivu ni miaka zaidi ya hamsini toka tupate uhuru, mnamtuhumu mkoloni bado nyinyi wenyewe ni wakoloni mamboleo mkishirikiana na koloni huyohuyo. Ni Aibu kbwa Duniani. Ndo maana WAkoloni haohao wanatukejeli, Mtu mweusi hajui kujitawala. Suti gwanda fikra duni.

    ReplyDelete
  3. Ingekuwa ni mimi ningeona aibu hata kuonyesha sura yangu popote duniani. Wanakuchekelea kumbe wanakucheka. Umewaza watu na mali zao kwa malipo gani? Ni aibu kubwa.Hasa kwa Maraisi.Ni aibu kwelikweli. Ustaarabu hakuna.Tunapowachagua Maraisi kwa sasa tujiulize kama wanautashi, hekima, akili elimu na ni wapenda ibada ambayo itawasaidia pale pagumu. Si kwenda kanisani kuonesha uso tu au msikitini.Hadhi ni kitu kikubwa sana kinatokana na elimu ya myu, ufahamu, na utambuzi. Ukimchagua mtu mwenye ufahamu na utambuzi mdogo hata ukipiga kelele haelewi. Utambuzi ni mdogo. Na hana aibu sababu hajitambui.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad