Kuna msemo unasema huwezi Kufanya kitu kile kile kwa akili zile zile utegemee matokeo tofauti.
Wahindi wakitaka kuendelea kibiashara na haswa kwenye sekta ya usafirishaji, huwa wanawagombanisha wafanyakazi wao ili kila mtu ajione Kama yeye ndo Bosi kwenye gari.
Tunakwenda kwenye mazungumzo na barrick juu ya kulipwa kipande chetu tunachowadai hao wadosi. Ni vyema kuamua kwa busara hata Kama hiyo busara inakuumiza. Weka siasa pembeni, muongeze Lissu kwenye hiyo tume ya majadiliano.
Anaweza kuwa hajui sana lakini anachokijua hata Kama ni kidogo, kinaweza kusaidia na haswa ukikumbuka historia yake na bulyankhulu...... Sisemi zaid.
Sisemi kwamba kabudi na hiyo timu yake hawana uwezo wa kung'amua mambo kwenye hayo mazungumzo na barrick... Ila nina waswas na ukweli kwamba hata ukiwa na madegree mangapi, ukishaingia CCM unakuwa Kama zuzu hivi.
Wacha Lissu aingie Huko ndani, wakigombana ndo utapata hela nzuri.... Ila ikiwa smooth sana watatulipa Kama wanautupa msaada hivi.
Kingine kwenye hayo majadiliano hao barrick waambiwe kabisa... Wakimaliza upuuzi wao wafukie mashimo. Wanatuachia miandaki isiyo na matumizi.
By Erythrocyte/JF
Rais Kwa Hili Weka Siasa Pembeni Umpe Lissu Nafasi
3
June 15, 2017
Tags
Tundu Lisu HAPANA!! Hiyo siyo kesi, hayo ni majadiliano. Ni bora kumjumuisha Zitto, kuliko huyo 'mropokaji', yeye na akasubiri mahakamani........
ReplyDeleteEnter your comment...Lisu hafai kabisa,wapo watu wengi wenye weledi na nidhamu ya kuwatumikia watanzania LAKINI HUYO Lisu hapana,Lisu kwa SASA kwa Mtanzania MWENYEKITI akili timamu hawezi kumpa uongozi nyeti WA Taifa amejipotezea sifaa YEYE mwenyewe,Watanzania tunafuatiilia sana ,sina haja ya kurudia NINI alikua anapinga ktk mapambano ya madini NK,Wanaomtamani Lisu ni wale wasiojitambua,ambao bado wanaendekeza ushabiki na comedy,SISI tunataka kazi,hatutaki masihara ya kiinimacho.UZALENDO KWANZA.
ReplyDeleteLISSU NI JEMBE UTAKE USITAKE. ANAFAA KUTEULIWA!!!!
ReplyDelete