Rasmi..Anna Mghwira Aikacha ACT Wazalendo na Kujiunga na CCM..Akabidhiwa Ilani kwa Amri ya JPM ..!!!


Tukio la Mkuu mpya a Mkoa wa Kilimanjaro Mhe Anna Mghwira Kukabidhiwa Ilani ya CCM Leo Ikulu inadhihirisha Wazi kuwa amekubali kwa moyo mmoja kujiunga na chama hiko ambacho kinaongoa Serikali.

Leo Hii mara baada ya kuapishwa Ikulu ,Mhe Anna alikabidhiwa Ilani ya CCM na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara ,mbele ya Rais Magufuli na Viongozi Wengine waandamizi  wa Serikali.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kupokea cheo na kujiunga chama tawala badala ya kulisaidia Taifa na wananchi ni upotoshaji wa kiuongozi. Kwanza huyu mama ilimbidi akae chini kuzungumza na chama chake. Wangelijadili. Kwa mtu wa cheo cha juu kuondoka kwa namna hii bila kuwahusisha wakuu na viongozi wa chama chake ambao walimhesimu kajidharalisha mwenyewe sababu hajawaheshimu watu wa ACT hata. Ni utu wa madarka na kutupa jembe na mpini bila kufikiri. Kwa nini unakubali kutumika. Mtatumika Wanawake mnapohitajika kuwasitili Wanaume makazidi, badala ya kusimamia haki, usawa ukaenda polepole na kuonyesha ushujaa na hekima yako hasa kwa Wanawake vijana.Unapokea cheti na kuuza utu.Ni aibu. Mi ningejiuzuru kama najijua nimetumia papala. Ni siasa chafu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad