Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete amesema serikali ingetafuta vyanzo vingine vya mataumizi na sio kodi peke yake na pia kuona maisha ya wananchi yanakuwa bora kutokana na kukua kwa uchumi
Vyanzo vipya vya mapato amesemaserikali inaweza kutumia municipal bonds na infrastructure bonds kama vyanzo mbadala vya kodi na benki za kimaendeleo zinaweza kutumika kukusanya fedha za kusaidia miradi ya maendeleo kwa njia ya levarage na zimetumika kwenye nchi kama Ujerumani na Japan
Amesema pia wananchi wanaona serikali inajitapa uchumi umekuwa huku maisha yao yanazidi kuwa magumu zaidi na tafsiri ya maendeleo na uchumi ni na maisha yaliyo bora ni maendeleo yanayofanana na maisha anayoishi, ameunga mkono mipango ya wizara ya fedha ila waziri ajue wananchi wana hali mbaya