Shilawadu: Tumewafanya Wanaume Wapende Umbea..!!!


Mmoja wa wanaounda kundi la shilawadu Kwisa,ameulizwa inakuwaje wao ni wanaume halafu wafanya umbea?

Jamaa alichojibu ni kuwa wangefanya wanawake kipindi kisingenoga, kingeonekana cha kawaida ila kwa kuwa wanafanya wanaume kimekuwa extraordinary hadi wanaume sasa wanapenda umbea
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad