Taarifa za Awali: Moyo wa Hayati Ndesamburo Ulikuwa na Matatizo Makubwa..!!!


Wakati uchunguzi wa kifo cha Hayati Philemon Ndesamburo ukiendelea,taarifa za awali zinadokeza kuwa moyo wake ulikuwa na matatizo makubwa.

Kiongozi wa wachunguzi wa kitabibu,Prof. Elisante Masenga amesema kuwa taarifa hiyo ni ya awali na taarifa kamili itatolewa hapo baadaye baada ya uchunguzi kukamilika.

R. I. P. Hayati Ndesamburo!

Chanzo: ITV Habari
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad