Tulifanya S*x For Fun Sasa Anataka Kujenga Kibanda.

Hi Wadau
Kunua msichana tulikutana nikampiga sound kikaeleweka, km miezi 8 hivi iliyopita.
Tumegegedana kwa mda mie nikijua tunapunguziana stress.

Sasa hiv nataka nitulie nioe ( mchumba nimeshampata)
mie nataka nikate kamba ili nianze maisha mapya na huyu mpenzi wangu.

Imekuwa shida mi nilikuwa najitoa kisailensa, km kuacha kumtumia sms, kupunguza kupiga sim, kupunguza kutoa huduma (financial) tangia mwaka huu uanze sijamgegeda ila naona kama haelewi, bado anangangania.

Nimekuwa natumia ubinadamu kwa kutomwambia kavukavu kuwa nataka kuoa so tuachane, nikimwonea huruma kuwa ataumia sana, coz yy anaona km vile amefika wakati hatukuwa na huo mkakati wakati tunaanza.

Kwa wale wataalam wa hizi issue huwa mna-solve namna gani bila kuacha uadui kati yenu?


By Godbless
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mweleze tu ukweli mwana hamna namna hapo, mkumbushe mlikotoka mweleze mlianzaje kwamba hakukuwa na huo mkakati ataelewa tu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad