Sina kawaida ya kudharau jambo hata kama linaonekana ni la kijinga na nimeshapata faida kubwa kutokana na mtazamo wangu huu,nimeshafanikiwa kwenye mambo mengi ambayo watu waliyaona ni ya kijinga na wengine walijifunza kupitia hili
Leo naomba niwashirikishe jambo hili ambalo ni mewauliza watu kadhaa na wameonekana kunishangaa mtu kama mimi ni kwanini hasa nimeamua kulifuatilia hili,lakini najua kupitia hili naweza kujifunza kitu ambac ho sikua nakijua au nikajikuta napoteza muda wangu,yote haya ni matokeo na nimejiandaa kwa yote
Kuna namba watu wamekuwa wakidai kuwa kama unataka kuzungumza na Shetani au majini basi unaweza kuzipiga,kuna jamaa yangu aliwahi kuzipiga nikiwa nae na simu iliita na ikapokelewa halafu aliulizwa shida yake na alisema lakini aliepokea simu alimuambia kuwa "huwezi wewe na usitusumbue"
Kuna jamaa yangu mwingine alipiga nae simu ilipokelewa na aliambiwa kuwa wapo busy hivyo hawahitaji usumbufu
Ukiangalia namba hizi hazina namba kiunganishi ili ujue hata location ya namba hizi,kitu hiki kimenifanya nijiulize sana kama hii inakubalila kwa mamlaka husika za mawasiliano
Sina ufahamu hasa wa mambo ya mawasiliano na nadhani hapa kuna watu wengi wanaweza kunipa maelezo ya kutosha na nikaridhika kuhusiana na dhana hii kuwa namba hizi ukipiga unazungumza na shetani au majini,sidhani kama jambo hili halina maelezo kwa wale ambao wanajua kuhusu mawasiliano na ndio maana nikaamua kuja kuuliza hapa ili jambo hili niachane nalo
Namba zenyewe ni 11111111111 na 999999999 nadhani zipo na zingine,hebu wakuu nisaidieni hapo ili niweze kujua
Nikwanini hakuna namba kiunganishi lakini simu inaita?
Je ni akina nani wanaopokea simu hizi?
Karibuni ....
Nataka kujua ni wapi nitawapata majini wa utajiri, nisaidieni, +254739441084
ReplyDeleteNaitaji majini wautajiri +254740865125
ReplyDeleteNaitaji majini wa utajiri +254740865125
ReplyDeleteNahitaji kuzungumzanao tu 0743601530
ReplyDelete0755377462 nipigie nikupe maelekezo
ReplyDeletembona kimya tu?
DeleteNipigie 0653270590
ReplyDeleteFEDHA AU UTAJIRI WA NDAGU AU MAJINI NDANI YA MUDA MCHACHE MPAKA MASAA 48(SIKU MBILI) HATA UKIWA SEHEMU ULIPO KIKUBWA UWE JASIRI, MSIRI, MWENYE MALENGO NA NIDHAMU INSHAALAH JAMBO LINAKAMILIKA.
ReplyDeleteKwanini unateseka na kutaabika na wakati ufahamu na Siri zipo ili kufumbua fumbo utajiri na kwa muda mchache. Aliyesema hakuna linaloshindikana chini ya just hakukosea shida kwanini wewe uwe kituo chake kila utuo wa matatizo ni wewe, Kwanini?
Kama unapata fedha huoni zinapita au umefanya biashara imebaki palepale, Magonjwa huelewi yanatoka wapi,
KARIBU KIKUBWAUWE NA NIA IMANI NA UTAYARI MALIPO NI BAADA KARIBUNI SANA.
💀IFAHAMU MIZIMU NA UNDAANI WAKE KATIKA KUPATA MALI ....
DOKTA MDIRO whatsp/call +255 742162843 Everyone
ANGALIZO HUSIJARIBU JAMBO ULIZA KWA MAELEKEZO
Omba lolotee kwa njiaa ya mizimu mungu atatenda asema DOKTA MDIRO,
Kuna watu wakisikia neno mzimu wanatimkaa mbio lakini wakisikia neno mtakatifu wanabarikiwa na wakati ni kitu kilekile kasoro jina tu.
Daktari wa kiafrika anaitwa mganga wa kienyeji na wa kigeni ni Mtaalamu au mwanasayansi.
Ibada takatifu zinaitwa Kusali na za lienyeji zinaitwa matambiko amka wacha kulala.
watakatifu wa kiafrika wanaitwa mizimu, Mzimu nii binadamu yeyote yule aloachaa mwili na ANAISHIII na mungu karibu, kwaiyo sisi sote nii mizimu watarajiwa, unapomfananisha Mzimu na shetaani nikukataa ukuu wa afrikaa, wazungu Mzimu uloishiii vizuri dunian wanauita mtakatifu sisi mizimu iloishi vizuri na VIBAYA duniani tunaayaita mashetani.
Ndiomaana ktk orodha ya watakatifu karibu wote wazungu, waafrika wa kuwahesabu, @highlight
WAZUNGU KWENDA MAKABURINI WANAITA HIJJA , SISI KWENDA MAKABURINI TUNAITA MATANDIKO, HATA MZIMU WA NYERERE UMECHUKUWA MUDA KWELI KUFANYWA MTAKATIFU KWASABABU HAKUWA MZUGU.
🤫DOKTA MDIRO ANASEMA MIZIMU INAFAIDA KUBWA KTK MAISHA YA MUWAFRIKA, KUIKATAA NI KUKUBALI BALAAA NA KUKUBALI NI CHAZO CHA BARAKA.
NA MAISHA MEMA APA DUNIANI,
😒 Mikosi, manyanyaso balaa, na gundu ulizonazo haziwezi kuondoka mpk ukutane na mizimu yenu .
Dokta MDIRO ANAKUAMBIA MIZIMU YA BIBI YAKO NA BABU YAKO INAA MAJIBU YA MATATIZO YAKO.