Kwa muda mrefu haijawahi tokea katika Afrika kupatikana rais mwenye kuguswa na matatizo ya wananchi masikini kama rais wetu, John Pombe Magufuli.
Katika enzi za kupigania Uhuru Afrika palikuwa na wazalendo kama Mwl.Julius Nyerere , Patrick Lumumba, Kwame Nkuruma na wengine wengi.Wapigania Uhuru hawa walikuwa na moyo wa kizalendo wa hali ya juu katika nchi zao.
Wazalendo hawa walijitoa muhanga wa maisha yao kwa faida ya nchi zao na vizazi kwa vizazi.
Miaka ya sasa wazalendo kama hawa wako wachache sana.Libya alikuwepo Gaddafi, na Tanzania yupo rais John Pombe Magufuli.
Rais JPM amejitoa katika kuwatumikia wananchi maskini Tanzania.Hapati usingizi akiwafikiria kuwakomboa wananchi maskini.
Juhudi zake za kupinga rushwa, ufisadi na uwajibikaji wa viongozi ni kielelezo tosha rais huyu ana uzalendo uliotukuka.
Wananchi wa Tanzania wanabahati kubwa ya kumpata kiongozi huyu mwenye UCHUNGU na nchi.
Ili upungufu wakuzazaa hovyo uepukwe lazima wote wenyekushiriki ngono waadhibiwe.mwenye kubeba mimba namwenye kubebesha mimba awe ni musomi mwenzie au mfanyakazi afutwe kazini.kama mfanyabyashara afungwe nabyashara yake iuzishwe kwa kusaidia huo mtoto. Utakuja kuniambia. Ubebaji mimba hovyo wao watausimamisha wenyewe
ReplyDeleteDuh!Mdau☝️Sheria hizo zote ulizozipendekeza wewe zipo/zinatumika katika nchi gani hapa duniani toba yalabi������Maana kama ungekuwa ni Rais wa nchi naona wananchi wote wa hiyo nchi yako unayoitawala raia wako wote wangeingia mitini na kukuachia hiyo nchi peke yaki familia yako mtawalane wenyewe na sheria zenu za ajabu��
ReplyDelete