June 2 2017, Mbunge wa Kibamba, John Mnyika aliingia kwenye headline baada ya Spika wa bunge kuamuru atolewe ndani ya ukumbi wa bunge kwa mada ya kuonyesha utovu wa nidhamu.
Sasa leo June 3 2017 Baraza la vijana la CHADEMA ‘BAVICHA’ limelaani kitendo cha kumsukuma Mbunge John Mnyika wakidai kuwa Mnyika hakukaidi amri ya Spika kutoka nje na walitumia nguvu iliyopita kiasi.
Aidha wamelaani kitendo cha Spika wa Bunge Job Ndugai kuwaagiza askari kumtoa nje kwa nguvu Mbunge Mnyika hata pale ambapo alikuwa anajiandaa kutoka ndani ya ukumbi wa bunge kiistaarabu, Bonyeza play hapa chini kutazama: