VIDEO: Tazama Jinsi Mwanafunzi Alivyojirusha Makusudi Kutoka Ghorofa ya Nne Mpaka Chini


Mtoto anayedhaniwa kuwa ni Mwanafunzi wa  shule ya DYCCC iliyopo Chang'ombe jijini Dar es Salaam amejirusha kutoka ghorofa ya nne mpaka chini huku chanzo cha tukio hilokikiwa bado hakijafahamika haraka.


Kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi Temeke, Kamishna Msaidizi Mwandamizi, Gilles Muroto amekiri kutokea kwa tukio hilo ingawa taarifa hizo zipo kwenye mitandao na hazijafikishwa kituoni hapo lakini tayari wameanza kufuatilia ili kubaini nini chanzo cha cha tukio hilo


Hata hivyo Jina na umri wa mtoto huyo bado havijafahamika.


Tazama video zaidi ya tukio hilo.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad