VIDEO:Maalimu Seif Ahadithia Njama zilizopangwa Kumuhujumu

Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUFMaalimu Seif Sharifu Ahmadi   ametaja Njama zinatumiwa na watu wenye nia ovu naye kumuhujumu pamoja na kumpindua kwenye nafasi yake

Maalim amezitaja mbinu mbinu hizo na maamuzi ya chama hicho kufuatia hofu hiyo ndani ni kukabiliana na njama hizo.

Hata Hivyo Katibu Mkuu huyo amesema kuwa Haki ya Wanzzibar ya kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar itapatikana sio muda mrefu.

Tazama Video

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad