Wameumbukaa..Lissu na Wenzake Waliokuwa Wanampinga JPM Wameumbuka Baada ya Ujio wa Bosi wa Barrick Mabye Amekiri Makosa na Kuhaidi Kulipa Tanzania Mabilion ya Fidia..!!!

Rais John Pombe Joseph Magufuli leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Barrick ya Canada Profesa John L. Thorton Ikulu jijini Dar es salaam. Katika mkutano huo, uliohudhuriwa pia na Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Paramagamba Kabudi na Balozi wa Canada hapa nchini, Ian Myles umemalizika kwa mafanikio makubwa ambapo pande zote zimekubaliana kukaa meza moja kutafuta ufumbuzi wa changamoto mbalimbali katika sekta ya madini. Habari kamili yaja punde




Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Haya ndiyo mambooooo hawajamaa wengine mnaotoka povu sasa onjeni

    ReplyDelete
  2. Juzi waliitwa wezi,hawajasajiliwa .Leo wamezungumza wameelewana .tunawezaje kukaa na wezi na kuzungumza nao ,ili paswa wawe wameondoka .ndio pale babu aliloniambia siasa mhhhhhhh

    ReplyDelete
  3. sasa walooumbuka ni kina nani? mbona dill dan.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Dan kwa namna gani. Watu wamechimba dhahabu hata vibali hawana. hawa ni wezi na wakumlaumu ni uongozi wa juu kwa miaka yote hii kuruhusu wazungu kuchumba bure dhahabu yenye thamani ya matrilioni akmayo ni mali ya mwananchi. bado unakaa nao eti wamekubali kulipa weka hadharani wamekubali kulipa , Wamelipa? kiasi gani? adhabu ya kuoperate bila kibali mmewapa? ya Vipi? na wamelipa interest ngapi kwa miaka hii yote. Na kama kweli hawana kibali hawana milki ya uchimbaji teno. Hapa hao hawana haki kuchimba tena. No contract, Kwisha kazi waondoke kwaheri. Kaa chini nchi fikiria namna gani mtakwenda mbele. Hawawadai hii ilikuwa ifanywe hivi. Full stop. Mtu yeyote aliyesomea uchumi, anajua mkataba upo au hapana, hawa hawakuwa na mkataba. na hawana mpaka sasa hivi tunapoongea. Madini ni yetu. Kwanza tungewaamuru warudishe dhahabu zote sababu wameiba. Si mali yao.wangerudisha dhahabu yote hawatudai kiru. walioperate illegally.Si mali yao.Naona aibu kwa kutojua kufanya mikataba na kuionyesha dunia nzima ile chokochoko inakuwa settled kwa mchezomchezo tena. Ni aibu kwa tTaifa na hili jambo wasomi fuatilieni. hii ni mali ya wanacni si CCM, si Raisi, si mawaziri, si wabunge.Hii kesi bado ipo haijaisha bado. Naomba sahihisheni tena. Wanasheria wote kaeni chini lifanyieni hili tena kabla myu yeyote kutia sahihi ya kijinga na kwa kicheko ambacho ni aibu nyingine kwa Taifa letu.

      Delete
  4. Piipooozzz - PWAAAAAAAAAA

    ReplyDelete
  5. Hawajaumbuka. Bado wameshinda. Dhahabu ni pesa na utajiri mkuu duniani. Wanajua walichokifanya, na wanachoendelea kukifanya. wanaichukua na kuhakukisha ipo mikononi mwao. Hii ni pesa ya kesho. katika uchumi, hakuna kitu kitakachothamimika duniani kama dhahabu. Achana na dola, paund, au Euro, hazina nguvu zidi ya dhahabu. Nia yao kumiliki, na kutoa kila dhahabu duniani ili imilikiwe nao. Watafanya juu chini ili waitoe yote. Hii ndiyo pesa itakayotawala dunia. Nasi tutakuwa hatuna dhahabu yeyote itabidi tena tuwategemee wao. Kama sanaa, na madini yote maalum yatumikayo kutengeneza simu, mabomu na silaha nyingi. Amka Tanzania mbona tunajiuza kwa short change. Tunafikiri tumeshinda wametuzidi akili, lakini tuliwatikisa kidogo, na wameamka kidogo, wamejua sisi bado hatupo pamoja kwa hili. Bado CCM, na Upinzani hatujakubaliana. na Wanapoza mambo. Bado CCM watafikiri wameshinda kwa hili. Ukweli ni kwamba hamjashinda bado tunaliwa vikali sana. Namshukuru Tundu lissu na Kafulila, Nnyika, Mbowe na Zitto kabwe. Ningependa waungane zaidi wawafumbue Watanzania wengi ambao hawajabarikiwa kuona mbali kielimu Waanze kuwa wadadadisi, wajisomeshe kujua Dunia inadhulumu namna gani. Mpaka mwenyewe ujijue haki yako safi na ukaidai kwa mali na hali. Ama sivyo hizi harakaharaka za ushindi wa muda na shangwe hazina tija, na hazikomboi taifa hata. Tuna wazalendo Wachache sana, na tunawasomi wachache sana wenye uwezo wa kufikiri na kuhoji mambo.

    ReplyDelete
  6. Thank you.Tuzidi kukaa pamoja kulikomboa Taifa letu. Taifa letu si maskini. Tungejua , na tukitaka kujua zaidi, Hatuhitaji misaada. Tukiweka sheria kali na za kulinda uchumi wewtu, Watu ingebidi watembelee Tanzania watuheshimu hasa kwa kukaa sawa meza moja kwa masharti yetu tukaingia mikataba hii. Na Dhahabu nyingi inabidi ibaki nchini na Madini makuu yote ya Tanzania. Tanzania ikiwa na Katiba safi, tukatunga sheria safi na kali, tukaondoa hongo, tukifungua viwanda nchini badala ya kuingiza makopo ya china, Tukiwaadhibu na kuwachukulia adhabu wote wanauza nchi na mali zake bila kujali cheo. Tanzania itaongoza kiuchumi si Africa tu, bali Duniani. Tunahitaji viongozi wanaopenda kutoa elimu safi kwanza kusudi ujinga uondoke, watu waamke, watumie elimu kuitunza, kuilinda, kuikonmboa mpaka ipate makamu. Tuliimba hivi zamani si ngoma za lele mama za leo zisizo na elmu, mafunzo, wala uzaleno. ni kuiga tu ya nje.Tanzania ni Tajiri, bali watu ni maskini kwa hali ya juu na ni umaskini wa kujitengenezea sisi wenyewe. Tuanze mijadala wazi kote nchin, na tuyaanike yote mabovu, tuyapinge na kuyalaani.Tusiwape ruksa watu wa nje tena upimaji madini kama lesseni ya umiliki na kumpa mwenye ardhi eti ihu miambili tu. Awe mbia kwenye ardhi yake apate asilimia ya mapato. Huu ni wizi wa kiaina yake. unampa mtu dola mia tu, unamhujumu mabilioni. Je Serikali kwa nini inaruhusu hii. Huwezi kupora ardhi yoyote ya mzungu kokote duniani hata kwa laki ya Marekani. Kwa nini iwe Tanzania na Africa tu?Je sisi ni watu less zidi yao? lazima tuseme ukweli hapa. Wawakilishi wa Watanzania mnaruhusu vipi?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad