Habari wadau.... Topic Kwenye Kichwa Cha Habari hapo juu inajieleza huwa najiuliza hili swali bila majibu..coz wazazi wengi huishia kusema tuu nimesema usioe
mnyakyusa,mhaya au mchaga au Mzaramo..
Bila kutoa ufafanuzi..kwanini..hebu tujadiliane..kama unafahamu chochote kuhusu makatazo Haya Funguka Hapa Tafadhali. .
mmhesahau kabila moja Wahehe duu hawa ni hatari Zaidi ya hayo makabila mliotaja wantabia ngumu na chafu sana jeuri kiburi ubinafsi umimi kila kitu wao kwanza halafu ndio wewe mtu nimeoa hili kabila ni balaa tupu
ReplyDeletezingine ni tabia za mtu binafsi, kuna makabila wachoyo, wabahili, wachawi na wabishi kama waha, ila haimaanishi wote wapo ivo. Makabila mengi Tanzania ukichunguza hutaoa wala kuolewa nao, utasema singida wadada wahuni, dodoma wavivu na ombaomba, wasukuma washamba, wachawi na wanaume wao wanyanyasaji na malaya, wangoni ndo kasheshe mtume pesa sio mkeo, ukimchunguza sana bata hutomla, cha muhimu ni kumuomba Mwenyezi Mungu akupe wako wa kufanana naye ila kwa kikabila mmmh utafeli. ndo utaoa kabila lenu ila mke utamwacha nyumbani maana huna mapenzi naye nje utatoka na makabila uliyokatazwa. tuache uoga tutafute mapenz ya kweli na tabia njema utakuwa salama.
ReplyDeleteMsituletee"UBAGUZI"mapenzi hayana kabila wala rangi wangapi walioa au kuolewa na mke/mume wa kabila moja na ndoa zao zimevunjika?Msiishi na fikira za enzi ya "stone age" sisi wote ni wabongo na siku hizi kuna huo msemo wa kusema "TUPO PAMOJA"je kwanini tubaguane wenyewe kwa wenyewe wakati tunadai kuwa tupo pamoja?Kama hamna mada zenye mshiko kausheni wakati mwingine kwani"UBAGUZI"Ni dhambi mbaya sana
ReplyDeleteAsante sana muanzsha wazo lakn hi ndo inadhihirsha weusi na few ifra duni tulonazo...Mwanadamu kaumbwa na Mungu kwa mf.wake hivyo tunafanana ktk Mungu...2. Kila mwanadamu anapenda sifa hata Yesu/Mtume mwenyewe alipenda Sina ili ubnadam utimie...3) Tunashauriwa alokuzd hauna haja ya kumroga Bali kujinyenyekeza kwake ukafaidi zaidi....4) Tabia mbaya na nzuri zote zpo ili shetani ajdhrshe ila uondolewa na kuwekwa na familia husika...4) vijana mnakurupuka sana, binti au Dada mnakutana UDSM-UBUNGO dakika chache mnatangaza uchumba....5) wote walotajwa ndo makabila yalofanikiwa kielimu,biashara.Umalaya,kuchepuka,uchawi,ubinafsi,roho mbaya vipo Kila kabila duniani...kama huamini utachekwa lakin walotembea watakufahisha....MAISHA YAKIKUPGA NI WEWE NA USIANZSHE MADA ZA UKABILA...SIJABAHATIKA KUTOKEA UKANDA HUO LAKIN NAISH NA HAWA WATU NA WAKO VZURI...MTU ANAPATA A DARASANI ANAKWAMBIA NA KUKUONESHA KISHA UNAMWOMBA AKUFUNDSHE ANAKWAMBIA MUDA WOWOTE NJOO NA ANAKUFUNDSHA...NKO CHUO LAKIN KILA KABILA WANA IZO TABIA AU CHUO KZMA NI WACHAGA NA WAHAYA? That's inferiority complex.
ReplyDeleteSIO WOTE WAKO HIVYO. WENGINE WAPO VIZURI. KILA KABILA LINA KASORO ZAKE. KIKUBWA ZAIDI LAZIMA UIJUE HISTORI YAKE ALIKOTOKA NA UJUE ANATAKA NINI NA HATAKI NINI NA AWE NA HOFU YA MUNGU. ILA SIO UMTAFUTE MWENYE HOFU YA MUNGU WAKATI HUNA HOFU YA MUNGU!! MWANANGU UTAKUWA UMECHEMKA. NDEGE WANAOFANANA HURUKA KWA PAMOJA.
ReplyDeleteHakuna kabila ambalo wote wako safi ila Kila kabila Lina mapungutu yake ukitaka mke mwema hutoka kwa Bwana Muombe Mungu atakupa wa kufanana nawe
ReplyDeleteinaaminika kuwa makabila haya wanawake wanaelekezwa maksudi kabisa kupenda vitu au kuja kwa mwanamume akiwa na matarajio ya maslahi tu na si kumpenda mwanaume kwanza(material based love not realy love.) pia mwanaume akipata huko mbele anauawa mama ana miliki zile mali kwa maslahi yake na kwao.tatu ;asipokuta pesa au vitu au mwanaume akiyumba ,anakimbia.nne; katika hali yoyote ile kuwe na pesa au mwanaume akiwa na uchumi mdogo ndo kabisa akaliwa kichwani na mama ie mama anakuwa kichwa cha nyumba halafu baba anageuka msaidizi.Kwa ujumla Jamii inahofia watoto wao wakiume kuishi kwa kubahatisha au kupoteza uanaume wao ,mali au maisha au vyote kwa pamoja.
ReplyDelete