Waziri Mwigulu Nchemba Apiga Marufuku Safari za Nje kwa Wote Waliotajwa Kwenye Sakata la Mchanga..!!!


Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba apiga marufuku safari za nje ya mipaka ya nchi kwa wote waliotajwa kwenye sakata la mchanga isipokuwa kwa kibali maalum kutoka Serikalini.

======

Hakuna uzalendo zaidi ya kulinda rasilimali za Taifa, Hakuna utetezi wa wanyonge zaidi ya kulinda rasilimali zao. Hongera sana Mh.Rais kwa uzalendo wa vitendo kwa Taifa letu.

Naelekeza wote waliotajwa kuhusika hakuna kutoka nje ya mipaka ya nchi yetu isipokuwa kwa kibali maalum kutoka serikalini. Vyombo vitekeleze maagizo ya Rais kwa utimamu.

Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi.
12/06/2017

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad