WEMA Sepetu Hataki Ujinga...Awapa Mbovu Mbovu Wanaosema Ana Shape Mbaya


By @wemasepetu - Sheep ya mwendokasi... Ndo niliojaliwa nayo... Kama imeanzia kiunoni kwenda magotini ndo niliojaliwa nayo... Kama wewe hauna basi mshukuru Allah... Ndo nilivyoumbwa jamani... Sio mimi bali ni Maulana ndo alionibariki nayo... Hata ingekuwa kwanzia kichwa hadi Vidole vya miguuni ni sawa pia... Ndo niliojaliwa nayo.... Sometimes najiangalia kwenye kioo sijimalizi... Ndo majaliwa yangu... Ndo yangu basi... Imenizidia... Allah Subhanah wataallah ndo amenipa... Aaaah....!? Sio shepu ya kawaida... Niacheni na Shepu yangu jamani... Ndo nishaimiliki mie... Siwezi kuitoa....
.
TOA MAONI YAKO HAPA

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Maishallah!Nguva huyo������

    ReplyDelete
  2. Maishallah!Nguva huyo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad