Yanayotokea Sasa Zitto Aliwahi Yasema Akapigwa....Mwenyewe Adai 'Hata Mungu Akinichukua Sasa Nakwenda Huku Nimetabasamu'

Zitto Kabwe

"Mwisho wa siku historia inaandikwa tu. Uzalendo ni kufanya jambo ambalo wengi hawakuelewi lakini wewe unajua Ni jambo sahihi na unakubali kutukanwa, kususubikwa, kusimangwa, kuzushiwa, nk. Unapambana tu. Mwisho wa siku waliokuita msaliti watakuita shujaa. Waliokuzomea wanashangilia. Wewe unafanya nini? Unakaa kimya kwani kwenye kukaa kimya pia kuna kusema kukubwa zaidi. Muhimu Nchi ifaidike.

Huko nyuma nilipata kusema, hata mungu akinichukua sasa unakwenda ukiwa umetabasamu kwani unakuwa umetimiza wajibu wako duniani. Kina Josina Umm Kulthum wataishi Kwa heshima inshallah"

Ameandika Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa Facebook mara baada ya ripoti ya pili ya mchanga wa madini kuwasilishwa

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni kweli uliongea enzi zile, lakini walifanikiwa 'kukunyamazisha' kwa mtonyo mrefu, hatimaye ukawa ndio mtetezi wao kama Tundu Lissu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad