Arusha Kunani?? Kiongozi Mwingine wa CHADEMA Ajivua Uanachama na Kuhamia CCM Leo...Wengine Kufuata!!

Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa FFU kata ya Muriet jijini ndugu Anacletus Edward Arusha ameamua kuachia uwenyekiti na kujivua uanachama wa CHADEMA na kuhamia CCM.

Huu ni muendelezo wa viongozi wa CHADEMA kuachana na Chama hicho na kuamua kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli katika kupambana na ufisadi, kusimamia maendeleo na Rasilimali za nchi huku CHADEMA ikionekana kukinzana na kila jambo jema kwa maslahi ya nchi.

Tetesi kutoka Arusha zinaeleza kuwa bado kunatarajiwa wimbi kubwa la viongozi wa CHADEMA kuachia ngazi.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad