BAADA ya Utapeli wa Kuponya Vilema, Ukimwi na Miujiza Kudharaulika: What Next Kwa Manabii wa Kiroho?

Ni ukweli usiopingika kwamba kuna baadhi wanaojiita Manabii wa kipentekoste walikuja kwa kasi ya ajabu. Wakidai kuwa na kufufua watu, kuponya vilema, kuponya magonjwa kama ukimwi, na kufanya miujiza mbalimbali kama kumuombea mtu mafanikio ya kimaisha nakadhalika nakadhalika. In short walitafuta matatizo yanayowahusu watu wengi kama ndoa, kupata watoto na kupona maradhi na kwa njia hii wakawapata watu wengi. Siku zikapita hakuna alopona wala kufanikiwa. Hii imepelekea watu wengi kuwadharau kwa utapeli. Nimekuwa najiuliza what next kwa manabii hawa matapeli hawa japo wengi wameshatajirika sana kwa kula pesa za watu masikini waliowaamini kuwa wanaweza kuwasaidia matatizo yao

By Modibo
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad