CCM si wa Mchezo yaibomoa CHADEMA Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro

Pole pole akiwa Mkoani Kilimanjaro anasema yafuatayo.

Kuna viongozi kadhaa kutoka Upinzani wameikubali kazi na kasi ya Rais Magufuli. Lazima tuwapokee kwa heshima kubwa.

Watu hawa wametumia Uhuru na haki yao ya Kidemokrasia na kuamua kuondoka katika vyama vyao na kujiunga na CCM. Ni watu wazito.

Wafuatao ni Madiwani wamejiondoa CHADEMA na kumuunga mkono Rais Magufuli(Wamehamia CCM).

1- Diwani wa Kata ya Machame Magharibi. Ndugu, Goodluck Kimaro ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Wilaya ya Hai(CHADEMA). Hivyo nimeamua kumuunga mkono Rais Magufuli.

2- Diwani wa Kata ya Weruweru,

3- Diwani wa Kata ya Mnadani Wilaya ya Hai, Ndugu Everist Peter Kimati amesema kuwa japokuwa walipata ushindi mkubwa 2015 lakini ndani ya chama kulitokea mpasuko uliosababishwa na uhujuma ndani ya uchaguzi wa ndani ya chama.

Katibu wa Itikadi na Uendezi wa CCM, Ndugu Humphrey Polepole amesisitiza kuwa kuna lundo la viongozi wa Uponzani wanaotaka kujiunga na CCM.
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Acha udanganyufu ndugu Hamphrey, ccm ni ileile. Kupigania madaraka kwa hali na mali. Wasiijua na wajinga nduo waliwao.mnamtumia raisi kupigua duli zenu. Na raisi kajichanganya hajui yeye inabidi aongize nchi. Badsla yske anaongiza ccm .na hii ni kutokujua mipaka ya kazi zake. Mnamtumia kama nduye pekee.kwa hela za umma kama hela za ccm.na huu ni upotoshaji wa nchi. Mmeischs nchi bila elimu kwa muda mrefu mkijua mnawahitaji wajinga wawaunge mkono. Na nchi ya wajinga haioni mbele. Mwerevu hatawaunga mkono. Bali mtu kama leokadius ni wenu. Ni kati ya wajinga mliowalea kwa miaka 15.

    ReplyDelete
  2. Daaahhhh... !! inakuwaje sasa Hii si itamwathiri mwana HAi. Towe ajili ndiyo base kule. kukimeguka ndiyo basi tena.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad