Deni la ACACIA: Mdau Mmoja wa Kigeni Kanena Haya Mtandaoni....

Kaandika:

Doing business in Tanzania-Going to the moon is cheaper.

Akaongeza:

That US $190 billions is 10 times the budget for NASA.

Akamalizia:

May be the Goverment of Tanzania is planning space programme with Acacia billions.

Naona hata CNN nao wameripoti hii habari.

My take:

Hii inaweza kutuathiri sana katika uwekezaji.
Add caption

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwani kuna ajabu gani ikiwa madai hayo yanazidi budget ya NASA kwenda mwezini. Hawa wazungu wasitudharau kiasi hicho.Ni lazima tulipwe haki yetu ikiwa $1 au $1trilion!

    ReplyDelete
  2. Huyo jamaa ni ignorance haswa,angeuliza kwanza,hiyo bill si ya mwaka mmoja au miwili ni ya miaka 17..then hapo ndo alete hadithi zake za alinacha,sijui kununua mwezi ,jua ..HAPA KAZI TU..Big up MAGU..

    ReplyDelete
  3. Hawa ni Mijuzi mingine. Mjueni angalia hii hapa chini upate picha ya kinacho endelea wala hawako mnakosema amelika! wako kambodia . Kabla ya kuleta habali angalia usahihi wake. Long live PJM

    https://www.youtube.com/watch?v=_PCDIWgfkCQ

    Kuamka ni lazima kwa sisi Watanzania na Mali zetu ni Halali yetu na Vizazi Vyetu.
    Tuta ikamata Mitambo na Deni Zetu wazilipe au Tunapiga Mnada na Serikali kupitia
    State mining corp wanunue.

    Cmi Capital(Sixth Floor, Icon Building,216 Norodom Blvd, Tonle Bassac Chamkarmorn, Phnom Penh
    CAMBODIA) has been a resource sector investor and deal originator in the natural resources sector (metals and energy) since 1994. With some exceptions, we have remained steadfast to our core focus. Cmi Capital has invested in projects in a diverse range of countries from Australia to SE Europe and SE and North Asia, Australia and Africa. We seek to leverage exceptional

    Cmi Capital has been a resource sector investor and deal originator in the natural resources sector (metals and energy) since 1994. With some exceptions, we have remained steadfast to our core focus. Cmi Capital has invested in projects in a diverse range of countries from Australia to SE Europe and SE and North Asia, Australia and Africa. We seek to leverage exceptional regional technical knowledge to generate unique sector opportunities. We invest heavily in expanding our proprietary knowledge base and work with our partners to leverage this into market driven portfolios which over time grow in value. Our ultimate objective is to secure significant positions in startup corporations in the sector (and elsewhere as the opportunities arise) which grow through development and production. As the sector recovers from recent soft commodity prices Cmi Capital is exceptionally well positioned to benefit from a re-pricing of the sector.

    We develop unique regional technical understanding and combine that with regional presence and political capability to increase portfolio value and reduce risk. We have held major positions in resource sector companies operating in Australia, Turkey, Bulgaria, Serbia, Mongolia, Macedonia, Africa and more recently SE Asia. Cmi Capital is building a significant portfolio of energy and metal startups in SE Asia working strongly with local partners. We do commercialize our regional technical synthesizes on a proprietary basis, licensing data to select partners in whom we hold equity positions or anticipate that we will in the future.

    ReplyDelete
  4. Dooooh...!!! mdau umenifungua kichwa . Kumbe hawa pia ni watu wa Dili Tu....!! Prof KABUDI.
    angalia ni lazima tuwawekee mikakati ya maana. Kumbe ni Kama Genge la Utafutaji Heller. Na hela zizi tumezilalia na ujuzi na uzoefu wa mazungumzo hatuna. Ndiyo TUNAIBIWA. Asante mdau. na THUMB UP TO JP MAGUFULI Raisi na Mzalendo wa TANZANIA

    ReplyDelete
  5. Dooooh...!!! mdau umenifungua kichwa . Kumbe hawa pia ni watu wa Dili Tu....!! Prof KABUDI.
    angalia ni lazima tuwawekee mikakati ya maana. Kumbe ni Kama Genge la Utafutaji Heller. Na hela zizi tumezilalia na ujuzi na uzoefu wa mazungumzo hatuna. Ndiyo TUNAIBIWA. Asante mdau. na THUMB UP TO JP MAGUFULI Raisi na Mzalendo wa TANZANIA

    ReplyDelete
  6. Mdau...umeingoza mada za chama cha. Upanse WA Kyle.. Mengine yanaingia akilini umalizuaji aio endeleI ya Mada.. Jitoe kisiasa ili tuzungumzie makinikua na udanganyifu na wizi rulioganyiwa kama TAIGA..AASANYE

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad