Diamond Apoteza Ladha Kwenye Mziki Wake....Namshauri Akae Kimya Mwaka Kulisoma Game Upya....

Mimi ni shabiki mkubwa sana wa huyu jamaa tokea kamwambie till this time.....lakini recently naona kama jamaa anaanza kupwaya hivi maana yule Diamond wa kutoa ngoma za Taifa zinazosumbua Media kuanzia Bongo hadi nchi za nje simuoni tena....Inasikitisha na kutia wasi wasi sana kama kuna nuru uko mbele inabidi yeye na manejiment yake wakae watulize vichwa ili kupata jawabu zuri ni wapi jamaa anakosea.......

Nyimbo zake kwa sasa zinapata air time tu kwa vile tayari ni maarufu ni ngumu kwa Media kuzikwepa ila sio nzuri kivile kama zile za zamani.

Kwa ushauri mzuri ikiwezekana akae pembeni kwanza ili alisome game vizuri......Mfano Davido aliamuwa kuwa kimya kwa takribani mwaka mzima na akilisoma game na come back yake imekuwa nzuri kupita Kiasi.....

By isho_boy

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Namshauri awe bongo flava music producer studio tayari anayo kwake ni easy coz kuishi as a musician ni kitu cha kupita tu baada ya muda fulani mtu huwa anachuja ni vyema aka-react now before it's too late akubali kuwa kila mpanda mnazi baadaye hushuka chini wakati wako umeishaenda alijojo dogo that's music's all about it can u up'n'it take u down good lucky dogo

    ReplyDelete
  2. Namshauri awe bongo flava music producer studio tayari anayo kwake ni easy coz kuishi as a musician ni kitu cha kupita tu baada ya muda fulani mtu huwa anachuja ni vyema aka-react now before it's too late akubali kuwa kila mpanda mnazi baadaye hushuka chini wakati wako umeishaenda alijojo dogo that's what music's all about it can u up'n'it take u down good lucky dogo

    ReplyDelete
    Replies
    1. That's what music's all about it can take u up'n'it can take u down

      Delete
  3. Sidhani kama Diamond kweli ni msanii wa muziki nikimlinganisha na King Kiba. Yeye ni showbiz sana kuliko kazi yake kisha wanawake ndio saaana. Hata chakula kikiliwa sana kinakosa ladha...

    ReplyDelete
  4. Diamond mtafutaji wa hela sio radha yashapitwa Na wakati hyo cheki kiba anavyobumbwa

    ReplyDelete
  5. SIONI UKWELI WOWOTE DIAMOND YUKO VIZURI SANA.!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. tena sana bado yuko kwenye game

      Delete
  6. Jamani huyu jamaa ni next level tuache majungu, sio rahis kumentain status for that long. Marejendari Wa mziki africa kina psquare they respect him wewe hata huna idea na mziki unaponda tuache jamani

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad