DIAMOND Awatolea Mapovu Wanaomsakama Zari Kuhusu Msimba wa Mama yake...Awaita Chupi Kunuka...!!



By diamondplatnumz - Kuna vichupi kunuka wanajifanya wanajua sana uchungu wa Misiba ya watu.... Mtoto wa watu katoka katika matatizo mfululizo, anatakiwa apelekwe sehem tulivu apetiwepetiwe apate faraja!...sasa kama nyie hamna mabwana wa kuwafanyia hayo, Msijifanye ni Tamaduni na kulazimisha kila mtu awe kama nyie, eti kutwa nzima ajifungie chumbani kulia... Pambaneni na Mahusiano yenu...! Nina siku 5 za kumpetipeti... leo ndio kwanza Ya kwanza

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwanza anazini nae huyo Bibi vuzi. halafu hataki kuambiwa ukweli, yaani mtu ampoteze Mama yake than aende kujionyesha anatiwa? kama si laana na uhayawani ni nn. Hala huyo mbwa wake anatoa kejeli kwa ajili anapesa za kufanyia ufuska. Bi sandra nae anavaa chupi kunuka Dai asisahau hilo.

    ReplyDelete
  2. siku tifa akifa nao wataenda Dubai kuosha chupi zao, na yale Mavuzi tuloonyeshwa na maatoy alojitia nayo Zari uchi wake hauniki?

    ReplyDelete
  3. Mbona Grann nae katembea na wanume 100. nae chupi yake hainukiau bwawa limekauka maji.

    ReplyDelete
  4. HONGERA SANA CHIBU WEWE JEMBE SAAANA. MPETI MPETI WENYE WIVU WAJINYONGE. HIYO IMEKAA VIZURI SAANA. WASEMA MCHANA USIKU WATALALA!!!! BIG UP DIAMOND. ZARI WEE KUWA NA MOYO WA UVUMILIVU TU WAACHE WASEME WEWE KULA BATA. WANATAMANIA HAWANI JINSI TU.

    ReplyDelete
  5. AMPETIPETI KWA KUWAONYESHA WATU NANI ASOJUA MAPENZI. ACHA UNAFIKI ANONY. 11.03

    ReplyDelete
  6. Anamuonesha nani huo ni urembukeni maskini feel sorry for u diamond huyo mama mzee anakubabisha hivo baada ya kifo cha ivan muulize alijuwa na nani kwanza kabisa hamuoni vibaya kuzini munazaa wanaharamu ivo mutawaambia nini watoto wenu isitoshe uislam una sema nini kama ni huyo bibi mzee alisha badili dini sasa wewe mwenzangu uliza huku uganda ZARI NI NANI? TUKUAMBIE

    ReplyDelete
  7. hakuna mtu mwenye wivu ila ubinaadamu ni lazima aambiwe yes ni ukweli kabisa alishabadili dini na amekuwa baptise anatukanisha dini zote hao kweli ni malimbukeni unajua kuna msemo unasema maskini akipata matako hulia mbwata ndio DIAMONDI HHEEEEEEE

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad