EXCLUSIVE: Majibu ya Tundu Lissu Kuhusu Kumfuta Uwanachama wa TLS Waziri Mwakyembe

Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, TLS Tundu Lissu amezungumza na kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa za ukimya wake baada ya kuchaguliwa kuwa Rais wa TLS ambapo mbali na hayo amezungumzia pia mchakato wa Katiba mpya na majukumu ya Rais wa TLS.

Kwenye EXCLUSIVE interview na Ayo TV na millardayo.com Tundu Lissu amefunguka pia kuhusu issue ya kumfutia usajili Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe pamoja na utawala wa sheria nchini Tanzania.


Tazama Video:

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad