GODZILLA Njoo Nikusaidie Kwa Stress Ulizonazo Usije Kula UNGA – Nay wa Mitego

Msanii wa Bongo Flava, Nay wa Mitego amezidi kuwasha moto kama inavyoeleza kwenye ngoma yake mpya ‘Moto’.


Nay kupitia mtandao wa Instagram ameendelea kuwashukia baadhi ya wasanii ambao amewataja katika ngoma yake hiyo. Haya ndio aliyoandika kuhusu, Godzilla na Bill Nass.

Ujinga Ni Kukasilika Pale unapo Ambiwa Ukweli. Una panic #Moto🔥Watag Walio Panic na Kubishana na Ukweli mi naanza na @kingzilla_tz 😂😂 🏃🏿🏃🏿 aiseh Yule Mwanamke nitakupa Number yake Mi Mwenyewe Japo Najua huto Muweza🔥. Ila @billnass Una Roho Mbaya sana Kijana Hutaki Kumpa ata Upenyo Kaka ako.!?, Njo Nikusaidie @kingzilla_tz Maana Stress Ulizo nazo Utaja kula Ngada Bureeeee. Karibu #FreeNation966 Tuta kurudisha kwenye Game.!, #Moto🔥

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad