HAKUNA Namna...Rais wa TFF Apandishwa Karandinga na Mahabusu Wengine


Leo hakukua na namna nyingine, Rais wa TFF Jamal Malinzi, Katibu Mkuu wa TFF Mwesigwa Selestine na Afisa wa fedha wa TFF Nsiande Mwanga walipandishwa ngarandika wakijumuishwa na watuhumiwa wengine kupelekwa mahabusu.
Siku ya kwanza kusomewa mashtaka yao, Malinzi na wenzake pamoja Rais wa Simba Evans Aveva na makamu wake Geoffrey Nyange walipelekwa rumande kwa gari la polisi wakiwa watuhumiwa watano tu
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad