HALI Bado Mbaya Kwa Halima Mdee..Ahamishiwa Central Police Baada ya Masaa 72


Taarifa kwa Wanachama wa Chadema na Wananchi wa Jimbo la Kawe, Mhe Halima Mdee Mbunge wa Kawe aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi la Police Kituo cha Osterbay tokea siku ya Jumanne jioni mpaka sasa Amehamishiwa Central Police.
Kwa wale wote mnaotaka kumjulia hali Mbunge kwasasa tuelekee Central Police....

BY HENRY KILEWO
KATIBU CDM DSM

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad