Rais Magufuli Atoboa Siri "Hata Mtoto wa Mdogo Wangu Alizaa Akiwa Shuleni"

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amesema anapenda taasisi zinazohimiza maendeleo kama Mkapa Foundation na si zinazohamasisha wanafunzi wazae kisha warudi shule.



Rais Magufuli ameyasema hayo Jumatatu hii, wakati wa uzinduzi wa nyumba 50 za wahudumu wa afya, zilizojengwa na Taasisi ya Mkapa Foundation.

“Nazipenda taasisi zinazohimiza maendeleo kama Mkapa Foundationa na si zinazotaka watu wazae halafu warudi shuleni. Mmekalia kusema kuwa watu wazae halafu warudi shule, sasa si watazaa kila mahali,” alihoji Rais Magufuli.

“Hata kwangu kuna watu wanaozaa na wala hawajabakwa, hata mtoto wa mdogo wangu alizaa bila kubakwa, alipoulizwa imekuwaje akajibu kwa kisukuma alafu akanizalia mtoto akamuita John, akakaa kidogo akazaa tena mtoto mwingine akamwita Samia,” alisema Rais Magufuli huku watu wakicheka.

Na Emmy Mwaipopo

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sisi hatuongelei ndugu.tunaongelea msjukumu ya juu uliyokabifhiwa na Taifa kwa kufusta sheria. Hatuhitaji jibu kutokana na vipi Magufuli anafikiria, bali kama.sisi watanzania tuliokupa majukumu kama Raidi kwa mujibu wa sheria kutumis kiti chalko na kutetes elimu kwa e
    Wote. Naona mpska sasa bado hstupo pamoja na kuweza kutambua tofauti kati yako binafsi na cheo chako na wajibu kupitia sheria na cheo ulivhonacho.Na naliona tatizo kubwa ambalo namna ya kulitofautisha kwako ksma rsidi ni tatizo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe uwelewi.Hata ulaya uwezi ona mwanafunzi anasoma uku anazaaa harusiwi. inachotakiwa Wanafunzi wanataka nini? zaidi wailizwe kama wameshindwa kuzuia tamaa zao za mwili. Ngono. wanataka wapewe sindano. vidonge au ili kuzuia mimba. Maanake ulaya wanafunzi walishindwa kujizuia tamaa zao za mwili kingono kuendeleza unzinzi kama wakubwa wenye majukumu na familia. wanapewa hivyo vyote mradi adipate mimba shule. aendeleee kungonoka tu.Kwanza na wazazi wao hawayataki hayo majukumu ya kuanza kulea wajukuu. kila mtu na mzigo wake mwenyewe. Hao wakubakwa mnaodai. pengine ni mmoja kwa wawili. walio wengi watakuwa ni wale mambo ya utamu. ngono. aka uzinzi ya kuvunja amri sijui ya ngapi ya mwenyezi mungu khaaa!!!! Wafrica kwa uzinzi hawajambo. si ajabu kuona bara hili limejaa migonjwa ya uzinzi kila kona

      Delete
    2. Wewe uwelewi.Hata ulaya uwezi ona mwanafunzi anasoma uku anazaaa harusiwi. inachotakiwa Wanafunzi wanataka nini? zaidi wailizwe kama wameshindwa kuzuia tamaa zao za mwili. Ngono. wanataka wapewe sindano. vidonge au ili kuzuia mimba. Maanake ulaya wanafunzi walishindwa kujizuia tamaa zao za mwili kingono kuendeleza unzinzi kama wakubwa wenye majukumu na familia. wanapewa hivyo vyote mradi adipate mimba shule. aendeleee kungonoka tu.Kwanza na wazazi wao hawayataki hayo majukumu ya kuanza kulea wajukuu. kila mtu na mzigo wake mwenyewe. Hao wakubakwa mnaodai. pengine ni mmoja kwa wawili. walio wengi watakuwa ni wale mambo ya utamu. ngono. aka uzinzi ya kuvunja amri sijui ya ngapi ya mwenyezi mungu khaaa!!!! Wafrica kwa uzinzi hawajambo. si ajabu kuona bara hili limejaa migonjwa ya uzinzi kila kona

      Delete
  2. Ulaya ya wapivunayoisemea. Ulaya hakuna shida ya mabinti kupota mimba za utoto. Atakaye mps mimba anahesabika ni mbakaji. Na wanafunzi wanamazingira tofauti. Ukipata mimba unaruhusiwa kwenda shule na kumaliza masomo. Na hata ukiwa na mimba watu wanasoma.kabla ya kujifungua unachukua likizo mwezi unarufi shule.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Povu limekutoka. Au ndio wahofia biashara yake ya kitumbua itaingia mchanga!!!!!!

      Delete
    2. Kwa hiyo Wewe umeharalisha uasherati, ngono, uzinzi eeeee!!!!. Manake hapa angalia Hoja yako. Hatutaki hayo bara la Africa, wakimaliza shule watangonoka, Nadhani kwanza watakuwa wamekuwa vizuri, kifikra na kimawazo na Elimu bora, Kwanza atafikiria kutafuta mume, Sio kungonoka tu etiiii utaaamuuu!!!!!!!

      Delete
  3. Nyinyi wengi watetezi ni wansume ambao wstoaji mimba ns mmekulia mazingiramagumu.na mfumo mkubwa na na unaotawala mnaoujua na mmeuzoea ni utawala wa makabila na ni mfumo dume, kandamizi hsujatambua bado faida ya kumwinua mwanamke kielimu.kwenu wengimwanamke ni mfanyakazi na yupo chini ya mwanaume. Unammoliki hata ukiwa mjinga.ni tatizo. Humthamini bado ingawa amekuzaa.sijui nini kitaubadilisha fikra finyu ksma hii.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad