Jina la Rais Magufuli Latawala Kila Mahali Uchaguzi Mkuu wa Kenya. Tanzania Tunapata Ujumbe Gani?

Kila mgombea huko Kenya anaposimama na kumwaga Sera zake na jinsi atakavyo wahudumia wakenya atakapochaguliwa baada ya uchaguzi ni lazima ajifananishe na Rais wa Tanzania Dr Magufuli Katika suala nzima la uwajibikaji bila kumuogopa yoyote.

Kila mikutano ya hadhara jina la Dr Magufuli limekuwa likitumika Katika kijinadi kwa wagombea.

Hii inatoa ishara gani kwa nchi za Africa Mashariki?
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Amini Usiamini. Magufuli si Africa tu Mali hata huku Ulaya na Asia huyu ni GAME CHANGER IN AFRICAN LEADERSHIP AND AN AMAZING ACHIAVER. MUNGU AMLINDE NA AMPE AFYA AENDELEE KUTUTUMIKIA.

    ReplyDelete
  2. kupanga ni kuchagua!!... Magu habari Ingine...!!! Mtoto wetu wenyewe...!! Mungu akulinde na Akutangulie shiku zote. He is a no non sense Prezida. Hataki Mchezo. Lelema kwake imepitwa na wakati. Anataka uwajibikaji na siyo Ushikaji. Tanzania mpya huyu ndioye atakae tuletea. Hongera Baba JPM

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad