Kafulila Afunguka Baada ya Magufuli Kumsifia Sakata la IPTL, Asema CCM Walimnyang'anya Jimbo

Mbunge huyo amesema ni heshima kubwa kwa sababu jambo hilo liliathiri sana maisha yake, na anashukuru Mungu mpaka leo yupo hai.

Na anatumaini rais kwa dhamira alioinyesha atachukua hatua za kutosha kama kuimarisha ofisi ya TAKUKURU na DPP na wahusika wote wachukuliwe hatua.

Akijibu swali kama sakata la Escrow ndio lilisoababisha yeye kushindwa amejibu vita hiyo imemgharimu mambo mengi na jimbo ni sehemu moja, ameongezea jimbo hilo hakushindwa bali alinyang'anywa baada ya kuibiwa sana ikashindikana akanyang'anywa na rekodi zipo na anaweza kuzionyesha na nguvu zilizotumika kumnyang'anya jimbo hazikua nguvu za kawaida
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huu ndio ushujaa unaotskiwa. Hongera ndugu Kafulila. Si kama wengine ndumila kuwili.ili Tsnania iendelee tunahitaji viongozi wengi kama Kafulila. Mungu akulinde akiongezee udhujaa wa kutetea mali na haki ya watanzania bila woga.ni ushujaa wa kiaina yake. Di wanaoingia majukwaani na kumdifia mtu adipostahili.ni hawa wanalisngusha tsifa na watanzania. Mungu yu pamoja nawe, hawajui ulichojitolea na kukubali ingawa unafamilia. Ni moyo wa kipekee.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad