Na kilichowashangaza wengi ni kwamba hilo Gari lililobeba ' Jeneza ' lilikuwa ni la Raia tu halafu hata huyo ' Marehemu ' mwenyewe alikuwa hajulikani na huyu ' Askari ' mpiga ' Salute ' wala Ndugu wa ' Marehemu ' nao alikuwa hawajui kitu ambacho kiliwavutia ' Wamarekani ' wengi huko katika mji wa Kentucky na hatimaye kummiminia ' Kongole / Pongezi ' nyingi mno huyu Mwanajeshi / Mjeda.
Swali ni dogo tu je hii nidhamu ' iliyotukuka ' kutoka kwa huyu ' Afande ' wa Kimarekani tunaweza pia ' kuibahatisha ' siku moja kuiona kwa ' Wajeda ' wa Kitanzania hasa hasa katika matukio muhimu ya Gari zilizobeba ' Majeneza ' ya Raia huku ' Bogi / Mvua ' kubwa inanyesha?
Shikamooni ' Maafande / Wajeda ' wote nchini Tanzania hata wale mliopo sasa Sudan na Congo DR.
Endapo utapenda kupata ' uhondo ' kamili wa hii ' Kitu ' ya huyu ' Afande ' wa Kimarekani basi bonyeza hapa chini: