Magufuli Amtolea Uvivu Lissu


Rais John Magufuli amesema kuwa Serikali imetatua Changamoto mbalimbali pamoja na Madawati  kwenye Jimbo la Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu.

"Tumetatua changamoto ya madawati...sasa hivi hata watoto wa TunduLissu wanakaa"

Magufuli amesema kuwa kuna "Wengine mmewachagua lakini wanaongelea ya Dar es Salaam tu...Kosea kuoa unaweza kutoa talaka, lakini usikosee kuchagua"
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Si sahihi kwa Raisi ambaye anakiti cha juu kujiingiza kwenye majigambo kama haya. Hizi pesa za madawati ni halali zao. Haya majibishano ya Raisi, kwa kumdharalisha Lisu sababu tu, Lisu analilia Katiba ya Wananchi ili ifuatwe kiuongozi bila kujibishana na kurushiana maneno kama watoto wadogo. Majigambo kwa mali za umma, hii ni mbaya na kujidharalisha kama kiongozi. Kwa Raisi kutembelea mikoa na kutoa huduma, badala ya kutoa hizo huduma kwa viongozi husika hii na aibu. Ni kutokujijua, nini kazi ya uraisi, na ipi kazi za wabunge na wabunge. Muwape hizi pesa bungeni wanapoomba. Hizi hela ni za Wananchi na si za ccm. Haya ni matumizi mabaya ya uonhozi, na kudharalisha vyama vingine kama havitendi kazi. Kazi walizozifanya wapimzani kwa Taifa jili kwa miaka hii ,15 ya uongozi wa CCM hakuna chama chochote Tanzania kilichodiriki kujitolea kwa hali na mali ili kulirudisha Taifa kwenye msitari wake. Chini ya CCM Taifa limeliwa vibaya. Kuna Wapinzani akina Lisu, Mnyika, Mrema, Kafulila, Mdee, na Yule aliyetolewa Bulayo, CCM yuko wa Singida, nimpe heshima zake, na kuna wengine wapo kimyakimya najua michango yao ni mikubwa. Mbilinyi, marehemu filikonjombe wa CCM aliyefariki na helicopter, Ndugu Kibanda,Hawa ndio waliomfanya Raisi Magufuli kufanya haya machache anayoyafanya sababu hayaepukiki. Kasoro kurudisha Katiba. Ningemsifu sana kabla ya haya yote angesaini katiba ya Mzee wa Musoma, Warioba, kwanza. Hii ingetoa uhuru na woga kwa Watanzania wengi wanaofanya kazi kwa kutetea riziki zao badala ya kutetea Watanzania wote. Inanisikitisha.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe vipiiiiiii????? Kwani ni uongo kuwa Serikali haijayatatua matatizo ya madawati. Miaka yote wanafunzi wengi wao na hasa wale wa huko mikoani na vijijini walikuwa wanakaa chini ya sakafu. Na hakuna uongozi wowote wa Serikali zilizopita uliowahi kulishughulikia hilo suala la madawati kwa kiasi kikubwa kama Serikali ya awamu hii ya tano. Hilo Ndugu yangu halina ubishi achilia mbali matatizo mbalimbali ambayo yameishashughulikiwa kwa ukamilifu na Serikali hii ya awamu ya tano. Majigambo hayaepukiki Ndugu yangu. Kama asipojisifia unataka nani amsifieee?????? Na hasa ukizingatia Tawala zote zilizopita ukiachilia ya Marehemu Mwl.Nyerere zilikuwa ni uozo mtupu. Ndugu yangu hapo juuu acha tabia ya kulalama na kuyashabikia yale usiyoyajua. Huyo Tundu Lissu kazi yake ni kuropokaropoka tu na kuupindisha ukweli wa yale mema yanayofanywa na utawala huu wa awamu ya tano. Hana lolote lile. Badala ya kuyashughulikia matatizo na zile changamoto mbalimbali za wananchi wa jimbo lililomchagua yeye amebakia kuyazusha mambo ya uongo na kumtukana Rais na Serikali yake. Huyo mtu aitwaye Tundu Lissu ni mtu wa kuogopwa kama ukoma na hatufai kabisa sisi Watanzania wengi wetu ambao kwa usawa huu tunayaangalia yale Maendeleo ya Nchi badala ya zile shurubu za watu na ubinafsi wao.

      Delete
  2. Madawati ni kitu kifogo sana ambavho kwanza ni aibu kutumia mfsno wa madawati CCCm kwa miaka 50 imeshika fola. Imeshindwa kutoa elimu safi ns kimwrka Mtanzania au kumsaidie abafili namna ya kufikiri ili ajikomboe. Ccm ni ksndsmizi. Ccmm haimjali mwanafunzi. Shule nyingi hazina majengo, na zenye majengo ni funi. Kwa miaka yote hii hawajathsmini elimu wala mtoto .watoto wengi bado wanamazingira magumu hasa vijijini. Ni vhini ys uongozi huohuo wa ccm. Umeshindwa kujenga mazingira mazuri kwa kumwandaa mtoto kila mtoto apate mazingira mazuri kirlimu.nfo masns simpi hongera ccm, lro wanakurupuka huku na kule hee tunafanya hiki, he tunatoa hiki, wskijua walioyoa madawsti si ccm ni watu wa itikadi zote, lskini ni wapotoshaji wskuu kutumia chama chao badala ya kusems watanzania. Na wajinga wengi Tanzania wsnafikiri na wanasmini ni pesa za ccm, ndo maana nasema ccm wengi waongo, wanatumia msli ys umma kuita ccm. Raisi smbaye ni wa watu, kils analolifanya wanaita ccm.huyu ni raisi wa wstanzania, badsla yske wanamwita raidi wa ccm hii nidhsmbi kubwa.yeye anazunguka nchini kama raidi wa watanzsnia je, snsjua hili ?anajua uchaguzi ulikwidha na sasa ni mwskilishi ws wstu eote, misaada snapewa kama rsidi ns ni kama kiongozi wa ccm.? Wengi watsnzania hawajui kumtofautidha raidi wa nvhi na mwenyekiti wa ccm.hata yeye mwenyewe hajui kutenganisha haya maeili nfo maana kunamgongsno kiutawala. Yeye kashika benders ya ccm, hajsitofautidha na bendera ya tsifa letu la usawa lenye picha zs madini, msli asili, nyunfo na ngao, mwanamke na mwansume, mkulima na mfanyakazi, kama raidi naomba nimkumbudhe inabidi awabebe wa Tanzsnia na bendera insyomuunganisha kila mtanzania kwanza. Kasahau na snaligawa tsifa kwa kulifanya taifa lote ni ccm. Na hhi ipingwe na akunbushwe. Skilizingatia hili hatakuwa na mgongano na vyama vya upinzani, sababu hatawabagua, na kuwatenga kimaendeleo.Raisi wetu amewatenga, na anachagua wapi apeleke maendeleo na hii si haki. Maendeleo ni haki ya kila mtanzsnia. Anawapiga vita kimaendeleo viongozi wengi wa chadems Arudha, moshi, na hata chato huko kwske anaruhusu polisi ambao wanawakilisha taifa kuwa ccm kunyanyasa wstu na hii di haki.hizi ni sera za ccm zimeingilia madarakasera za tsifa. Polidi inabifi wahakikidhe usalama, wadijihusishe na chsma kiuchochezi kupiga, kuwakamata wspinzsni wsnapotekeleza kazi za wansnvhi. Ccm vhini ya raisi snatembes mikoani kama mwanaccm na sera zs ccm hii di haki, uonevu, ns upotoshaji kiutawala kupitia na kujua watanzsnia wengi bado wapo gizsni kifikra na kutojua kazi ya raisi kinvhi ns kwa eote sababu amechaguliwa na wananvhi. Ns wabunge eote wawe ccm au upinzsni pia wamechaguliwa na wsnanvhi wso wapo huru kutends kazi majimboni mwso ksma anavyofsnya yeye. Yeye insbidi awasikilize wabunge eote kujua matatizo ys kila jimbo. Snabuka madaraka yake kwenda majimboni kuwazungumza vibaya wabunge ksma alivyofanya Singida. Ni uchochezi pis kumzungumxia mbunge , kumkashifu jimboni kwake na kujifanya ni yeye tu nfiye mslaika. Hajashikwa na polisi kama ni mchochezi. Hivi wstsnzsnia yeye snalazimiks kuleta maendelro skiungana na wabunge na si kumvharanga mbunge nyumbsni kwake, hadhi haipo na ni kama uswahilini.ni aibu kwa raisi kufanya hivi kws hafhi ya juu ksma yake na kuwa ksma dhangingi..sibu kubwa. Maneno na lugh aliyoitumia haviendani na wadhifa wake. Sorry. Utu.

    ReplyDelete
  3. You are more important than that.
    Hsina hsja ya kujihusidha kernye mzozo kama hivi na kujidhushia hadhi . Chro chsko ni cha thsmsni na hali ya juu kuliko maneno unayoyachsgua na kuyatumia. Kuna mambo ya muhimu zaifi kuliko kutumia muda wako kwa hivi.

    ReplyDelete
  4. Raisi Asijihusishe mtandaoni. Cgheo chako ni kitukufu kuliko maneno yako.Nitakuheshimu zaidi usipotumia muda wako kwa lugha kama hizi hadharani kwani zinakudharalisha. Wewe si mtu wa Mitaani, kijibu kiholela. Inabidi uwe mnadhifu si kujishusha hivi.Tumia cheo chako kwa kuunganisha watu badala ya kubomoa Taifa.

    ReplyDelete
  5. Huyu Ni Hi tech prezida. Mwana Digitally..nyie vipi? Huyu anaenda na wakati...Take five .Big Up JPJM

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad