Weka Comment yako hapo Chini ukimshauri Witness Kibonge
MAKUBWA...Mwanadada Witness KIBONGE Mwepesi Kaanza Kufata Nyendo za Gigy na Amber Lulu Kupika Picha Tata!!!
3
July 29, 2017
Picha hapo chini zinajieleza huyu mwanadada Witnes mwenyewe hupenda kujiita kibonge mwepesi dizaini kama kaanza kuiga mikato ya Gigy money na Amber lulu kupenda kupiga picha huku sehemu kubwa ya mwili wake ikiwa Wazi(nusu uchi)
Tags
MAKUBWA!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteHana jipya anatafuta Kiki mambo ya Kiki yamepitwa na wakati yuko wapi hamorapa
ReplyDeletekatufute kazi ufanye mbona muntuletea mambo ya kiajabu ajabu haya hayapo kwenye maadili yetu kabisa wachieni wenyewe ...
ReplyDelete