Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi amewapiga marufuku Wanasiasa kutoa lugha za matusi na uchochezi kwenye wilaya yake huku akiwataka wachunge vinywa vyao wakati wanaongea .
Tokeo la picha la DC kinondoni ally hapi
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mh. Ally Hapi
DC Hapi amesema kila mwanasiasa anayetaka kufanya siasa kwenye wilaya yake ni lazima achunge mdomo wake kabla ya kuongea.
“Ni marufuku siasa za matusi na uchochezi katika wilaya ya Kinondoni.Kila anayetaka kufanya siasa Kinondoni na achunge kinywa chake,”ameandika DC Ali Hapi kwenye ukurasa wake wa Twitter.
Jana DC ally Hapi alitoa tamko la kukamatwa kwa Mbunge wa jimbo la Kawe Mh. Halima Mdee kwa kile alichodai kuwa kwenye moja ya mikutano yake aliyoifanya kwenye wilaya yake alitoa kauli za kichochezi na kejeli kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh Dkt John Pombe Magufuli.
Kama vyeo ndio hivi. Tanzania hatutaendelea hata. Watanzania wote lazima na mujibu wso kmkosoa eyote wanapo haki haitendeki.na viongozi kama nyiyi mnapokuwa waoga wa kusema ukwrli wa mambo mnarudisha maendeleo ya nchi nyuma. Na mnapotumia nguvu kuwsnyanyasa wenye skili, watendakazi, watetezi wa watoto, jinsia na haki ya elimu kwa wote kwa kumsifia tu raisi hata akikosea, pia mnatumia vyeo vyenu vibays na hamzijui kanuni na ns umuhimu ws vyeo vyenu. Mnafsnya kazi kwa eogs kwa kumfurahisha raisi badala ya kutetea umma, haki, na watoto. Nchi idipotsmbua ubora na umuhimu ws kumsomesha, kumsapoti na kumtengenezea mazingira mszuri mtoto wa kike smbsye ni kiini cha tsifa katika malezi ya watoto na uchumi kwa ujumla tunarudi kule kwa karne bila elimu. Ni mila fume na kandamizi kwa mwanamke kumwona mwanamke wa kukaa nyumbani, kumtumikia bwana, kulea watoto na kufanya kazi za mashamba kama kuli. Bado baadhi ya mskabila mengi Tanzania wanaume bado wsnamtreet mwanamke kama kijakazi. Watamtuma , watsmfanya mpishi, watamwsmulu, mpiga, mkemea, ni kama punda. Hats kama wsmesoma, wsnamshahara. Hizi ni mila dume kandamizi na wanaume wengi wsnaotoka makabila kama haya wao ni kuburuza tu hata kiuongozi. Si waungwana hata. hivi tunavyochangia hata hawaeleei. ssbabu tu ni wanaume, kwso uswa hakuma. Inasikitisha mara nyingi ukimkuts mtu wa nsmna hii ksoa mwanamke msomi, mwenye akili kazi yske itakuwa unyanyasaji tu. Kutokujiamini.inferioritycomplex inaitwa. Mtu kama huyu ukimchalengi, ni dhida. Ataamka na mapivu tele ukimbie. Nfo kinachoendelea hapa.
ReplyDeleteNadhani hujaelewa, DC hataki siasa za matusi na uchochezi. Huyo mdee kama angesimamia point yake bila matusi, kejeli, kashfa na uchochezi wala yasingemkuta yalomkuta, kwani yeye sio wakwanza kumpinga Raisi, lakini wenzie wanapinga kwa hekima sio matusi........mwache avune alichopanda, hata hivyo alishawahi kutukana Spika wa bunge, hakuna cha ajabu kwake, anajifanya 'much-know'
DeleteNi lugha tu. Simwelewi DC na amemweka ndani Mtu mkweli. Unapokuwa kiongozi inabidi usiwaweke watu ndani holela wakikosoa. Na mchango wa Mdee ni mkubwa sana. Wabunge wengi hasa wa CCM wanalipwa bure bila kazi. Hawa ni mizigo mitupu. Wala hoja hawana . inabidi watumbiliwe kwa kutokanya kazi. Wengi elimu zao haziruhusu. Hawajaona mbali. Wanakaa bungeni kupiga makofi, vicheko wakitaja tu Magufuli. Uwezo wa wabunge hao ni mdogo sana Hawana mchangowowote bungeni. Kwa nini wasipimwe kutokana na utendaji kazi wakaondolewa? Sheria zetu hazina kina. Mtu unamlipa malaki kwa mwezi kucheka, kupiga makofi tu. Chama tawala ebu tuondoleeni huu mzigo unaomaliza kodi za wananchi kwa kukaa bila michango bungeni sababu hawana uwezo.Na wengi wakisimama hutoa utumbo mtupu. Ni kweli bunge dhaifu wengi wao mizoga. Na mzoga mingi inatoka chama tawala ambacho ni CCM.Hawana kisomo kuelewa mengi yanayozungumziwa Bungeni. Hawazijui sheria na hawana uwezo wa kuchangia lolote kwenye mikataba sababu elimu ndogo na upeo mdogo Wao ni watii kama kondoo ambao ni janga la maendeleo kitaifa. Wafyekwe hao. Ni vilaza vikuu. mizigo hiyo.
ReplyDelete