Maswali 5 Tata Kwa Ngeleja Baada ya Kutangaza Kurudisha Pesa za Escrow

Nikupongeze kwa hatua uliyoamua kuichukua ya kurejesha huo mgao wa Escrow......Lakini naomba ujibu haya maswali...

1.Ulichukua huo mgao kwa kazi gani?
2.Wewe na aliyekupa mlikua na mahusiano gani?
3.Kilicho kufanya urejeshe hizo fedha ni kipi? a) ni mali ya umma. b) Ulipokea kimakosa?
4.Je hizo fedha utarejesha kwenye akaunti ya nani?
5.Kutokana na swali la 3 upo tayari kutoa ushahidi mahakamani?
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mpe huyo.Acheni kuchezea Taifa na watu. Mnajisafishaje Mawaziri wateule kwa miaka mingi mnajinufaisha wenyewe kwa wenyewe kupitia Chama(CCM), bendera, serikali mliyokabidhiwa na wananchi, Mmetumia elimu zenu za juu kuupanga mkakati mzima , kulindana, MMetumia pia pesa nyingi za serikali kukanusha, kuwa si mali za umma. Niwakumbushe, menyekiti wenu wa CCM wa Taifa kwa kutumia kinga ya Uraisi hii ilishaliwa. Nawashangaa WanaCCM wote mnaochukulia jambo hili kwa urahisirahisi. Nawashangaa vijana wa CCM wote wakijua CCM kwa miaka zaidi ya kumi na tatu wameungana wote kutetea huu ufisadi. Nawashangaa wote wanaomkubali Raisi kabla ya kuhakikisha pesa zetu zinarudishwa na kodi zetu zinalipwa. Nawashangaa wote msiongoja kuuona mwisho mzuri kabla haujatufikia. Na hizi asilimia sita yumekurupuka tena kwa nini tusiende fiftyfity kama Botswana. Mambo yanayotakiwa yachukue muda kufuikiri Watanzania tunakurupuka na kurudia makosa yaleyale kama hatuna Wasomi na wanasheria wenye uwezo. Ndo maana Lissu hapendwi. Nahisi kuna watu hawa wenye ubia ndani wanaogopa kukosa kabisa. Kurupika yetu haina mwisho. Kwa nini Uwingi wa WanaCCM bungeni.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad