MBWANA Samatta Awapiga Chenga za Mauzi Mabeki wa Ajax na Kutupia Bao....


Mshambuliaji wa KRC Genk, Mtanzania, Mbwana Samatta akiwatoka wachezaji wa Ajax katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na msimu jana Uwanja wa mazoezi wa The Ajax Future timu hizo zikitoka sare ya 3-3.


Mbwana Samatta alifunga bao moja jana katika sare hiyo
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad