MGODI wa Acacia Waeleza Hasara Waliyopata Baada ya Kuzuiwa Kusafirisha Mchanga

Kampuni ya uchimbaji madini Tanzania, Acacia imetoa mchanganuo wa matokeo ya kuzuiwa kwa usafirishaji wa mchanga wa madini (makinikia) nje ya nchi kwa kipindi cha miezi 6, ambapo inaonyesha kampuni hiyo imepata hasara.

Kwa mujibu wa taaarifa iliyochapishwa katika ukurasa rasmi wa kampuni hiyo janan Julai 21, Acacia ilionyesha kuwa imepata hasara ya Tsh 391.9 bilioni.

Kama ilivyosema awali, kampuni hiyo imezungumzia pia mababdiliko ya sheria ambapo wameeleza kuwa sheria hizo zilizopitishwa na bunge Juni 29 na kuanza kutumika wanaamini zinahitaji kanuni zaidi. Lakini pia wamekubali kuongeza kiwango cha mrahaba pamoja na ada ya ukaguzi wakati wakisafirisha mchanga.

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Acasia na wenzenu wote milio kama akasia. Samahanini sana. Mchanga ni wetu!! na Mitambo ni yenu. The deal is Chukueni mitambo yenu au tuuzieni na sisi tunabakiki na mchanga wetu na tutaupenmbua hapa kwetu. Deali na Magumashi hatukuna tena kwa Tanzania yetu ya JPJM na sisi wananchi wakereketwa.
    Mnakaribishwa kufanya mazungumzo ya pack and Gooo!!! lakini Kuibiwa hatutaki tena na wala haito tokea!! Uchungu tunao na uwezo wa kufanya hilo tunao. Sababu pia Tunayo. Na TUNATHUBUTU kwa sasa. The leadership has focused on Development and this is part of the Tools to Achieve a NEW Era in TANZANIA. Long live JPJM

    ReplyDelete
  2. Ashant, GGM, and Acasia na wenzenu wote milio kama akasia. Samahanini sana. Mchanga ni wetu!! na Mitambo ni yenu. The deal is Chukueni mitambo yenu au tuuzieni na sisi tunabakiki na mchanga wetu na tutaupenmbua hapa kwetu. Deali na Magumashi hatukuna tena kwa Tanzania yetu ya JPJM na sisi wananchi wakereketwa.
    Mnakaribishwa kufanya mazungumzo ya pack and Gooo!!! lakini Kuibiwa hatutaki tena na wala haito tokea!! Uchungu tunao na uwezo wa kufanya hilo tunao. Sababu pia Tunayo. Na TUNATHUBUTU kwa sasa. The leadership has focused on Development and this is part of the Tools to Achieve a NEW Era in TANZANIA. Long live JPJM

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad