MWANAMKE wa Kibantu: Kama Una Wowowo, Usipoolewa Huo ni Uzembe Wako!!

Wanawake waliofungashiwa ni highly marketable securities katika soko... Ops, nimetumia lugha ya ki Finance.
Highly marketable securities ni zile hisa za makampuni makubwa Duniani, Marekani wanaita top 500 fortune companies kama vile Apple, General electric and the like... Ambazo zinauzika kwa upesi sana katika soko la hisa...

Kwa mwanaume rijali anayetafuta mchumba, wakisimama wanawake kumi mmja kawa na wowowo, hata kama ana sura mbaya, lazima awe chaguo la wengi.

Sasa kama wewe mwanamke wa kibantu umefungashiwa na Mola wako alafu bado unahangaika kupata bwana, ujue una very serious problems ambazo zinawafanya watu washindwe kukaa na wewe. Otherwise, tiketi yako ya kuolewa iko wazi kama jua lilivyo angani...
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad