Maoni ya Mdau.....
Msitufanyie makosa ya 2015 kwa kumpiga chini babu Slaa na kumsimamisha EL.
Tunaomba 2020 mteueni TUNDU Antipas LISSU kupeperusha bendera yenu.
Kwa hali ya siasa ya Tz ilipofika, tuna hitaji watu kama kina LISSU ili nchi ikae sawa.
By COARTEM/JF
Pendekezo: CHADEMA Msimamisheni Tundu Lissu Kugombea Urais 2020
1
July 24, 2017
Tags
Wewe unamuwazia Lisu kugombea uraisi? Huyu jamaa hata huo ubunge atakuja kuusikia tu.
ReplyDelete