Picha 5 za Mbunge wa CCM Alivyotaka Kupigana na Wabunge wa CHADEMA Jana Bungeni


MBUNGE wa Viti Maalum (CCM) Juliana Shonza, jana alizua timbwili nje ya viwanja vya bunge na kunusurika kupigwa na wabunge wa upinzani kutokana na kuwatambia kwamba atahakikisha Mbunge wa Kawe, Halima Mdee ambaye yuko kifungoni anaendelea kusota huko.

Wabunge hao wa Chadema  waliitwa Polisi kuhojiwa usiku wa kuamkia leo

Hapo chini ni picha za tukio hilo 



Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Shikamoo JPM! Nazidi kukuelewa kwa nini hukutaka bunge 'mubashara'.....Mungu akuzidishie maono, amen

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad